Education.co.ke

Maswali ya Insha na Dondoo Kutoka Tamthilia ya Kigogo

A) Maswali ya Insha Kutoka Tamthilia ya Kigogo Join Our Telegram Group 1) Jadili jinsi maudhui ya uzalendo yamejitokeza katika tamthilia ya Kigogo. (al 20) 2) “Mwandishi wa tamthilia ya kigogo anadhamiria kujenga jamii mpya”Thibitisha ukweli wa kauli hii. (al…

UCHAMBUZI WA MAUDHUI KATIKA TAMTHILIA YA KIGOGO

Join Our Telegram Group Kuna maudhui kadhaa yanayojitokeza kwenye tamthilia ya Kigogo iliyoandikwa naye Pauline Kea. Haya ndio baadhi ya maudhui hayo: 1) UONGOZI MBAYA Viongozi huangaisha wanyonge, Ashua anasema, “…na kuhangaishwa na wenye nguvu ndio hewa tunayopumua huko.” (uk…

WAHUSIKA KATIKA TAMTHILIA YA KIGOGO

Join Our Telegram Group Kunao wahusika kadhaa katika tamthilia ya Kigogo. Hawa ndio wahusika, na sifa kuwahusu. MAJOKA Ni kiongozi wa jimbo la Sagamoyo. Ni katili. Anaamuru Tunu auliwe,anavunjwa mfupa wa muundi. Anamwambia kingi awapige watu risasi katika soko la…

Form 1 Biology: Introduction To Biology

Introduction To Biology Biology derived from Greek words-BIOS meaning LIFE and LOGOS meaning STUDY or KNOWLEDGE. Biology means “life knowledge”. It is the study of living things/organisms. Branches of Biology Botany – the study of plants. Zoology – the study…

Introduction to Physics – Videos and Notes – Form 1

VIDEO LESSON: Introduction to Physics – What is Physics? Click on play on the video below to watch the lesson. Science in our lives Scientists are people trained in science and who practice the knowledge of science. We require people…

Mwongozo Wa Kigogo: MTIRIRIKO KATIKA TAMTHILIA YA KIGOGO

MTIRIRIKO KATIKA ONYESHO LA KWANZA TENDO LA KWANZA Ni katika karakana ya soko la Chapakazi, Sudi, Boza na Kombe wanafanya kazi ya uchongaji.Sudi amefungulia radio huku wakiendelea na kazi yao.Ashua anawaletea chai ya mkandaa na mahamri na kuondoka. Habari inatolewa…

KUCCPS Opens Online Portal for 2020 TVET Application for Form Four Graduates

The Kenya Universities and Colleges Central Placement Service (KUCCPS) has once again opened the Online application portal for KCSE graduands. KUCCPS, in its notice, said the application is open for form 4 high school leavers intending to join technical and…

KUPPET Warns Magoha Over KCSE 2019 Exams Release

Kenya Union of Post Primary Education Teachers KUPPET has warned the Education Cabinet Secretary Prof. George Magoha not to release the KCSE 2019 Examinations results in a hurry. The National Chaiman of Kuppet Omboko Milemba said that CS Magoha should…

CS Magoha Says KCSE 2019 Exam Results to be Released before Chrismas

The cabinet secretary of Education, Prof. George Magoha, has once again assured Kenyans that the Kenya Certificate of Secondary Examinations KCSE 2019 results will be out before Christmas. Prof. Magoha was addressing the parents, teachers, and students of Kapsisiywa Secondary…

KCPE 2019 Exams Results Out and Andy Munyiri Tops with 440 Marks

The KCPE 2019 examinations results are officially out. Andy Munyiri tops the list of over one million pupils who sat the same exams. The 2019 KCPE results were officially released by the Cabinet Secretary of Education Prof. George Magoha at…

CHECK DOMAIN