Marimanti Vocational Training Center Courses Offered, Contacts and Application Procedure
Marimanti Vocational Training Center Courses, Contacts, and Application: [email protected], 724843827, P.O Box 32 – 60215 Marimanti
Wahusika na Sifa Zao Katika Riwaya ya Chozi la Heri
Join Our Telegram Group Mhusika ni mtu katika riwaya au hadithi fulani anayetenda mambo kadha wa kadha, kadri mtunzi wa hadithi au riwaya atakavyo, ili kujenga hadithi yake. Wahusika katika riwaya ya Chozi la Heri, wametumika kuafikisha maudhui ambayo mtunzi…
Uchambuzi wa Jalada la Riwaya ya Chozi la Heri
Jalada la Riwaya ya Chozi la Heri Join Our Telegram Group Jalada la Riwaya ya Chozi la Heri ni tokeo la usanii wake, Robert Kambo. Rangi ya kijani kibichi Katika upande wa mbele sehemu ya juu, mna rangi ya kijani…
Maswali ya Insha na Dondoo Kutoka Tamthilia ya Kigogo
A) Maswali ya Insha Kutoka Tamthilia ya Kigogo Join Our Telegram Group 1) Jadili jinsi maudhui ya uzalendo yamejitokeza katika tamthilia ya Kigogo. (al 20) 2) “Mwandishi wa tamthilia ya kigogo anadhamiria kujenga jamii mpya”Thibitisha ukweli wa kauli hii. (al…
UCHAMBUZI WA MAUDHUI KATIKA TAMTHILIA YA KIGOGO
Kuna maudhui kadhaa yanayojitokeza kwenye tamthilia ya Kigogo iliyoandikwa naye Pauline Kea. Haya ndio baadhi ya maudhui hayo: 1) UONGOZI MBAYA Viongozi huangaisha wanyonge, Ashua anasema, “…na kuhangaishwa na wenye nguvu ndio hewa tunayopumua huko.” (uk 2) Wachochole hutumikizwa na…
WAHUSIKA KATIKA TAMTHILIA YA KIGOGO
Kunao wahusika kadhaa katika tamthilia ya Kigogo. Hawa ndio wahusika, na sifa kuwahusu. MAJOKA Ni kiongozi wa jimbo la Sagamoyo. Ni katili. Anaamuru Tunu auliwe,anavunjwa mfupa wa muundi. Anamwambia kingi awapige watu risasi katika soko la Chapakazi. Ni mkware. Anapanga…