WAHUSIKA KATIKA TAMTHILIA YA KIGOGO

Wahusika katika Tamthilia ya Kigogo na Pauline Kea

Join Our Telegram Group Kunao wahusika kadhaa katika tamthilia ya Kigogo. Hawa ndio wahusika, na sifa kuwahusu. MAJOKA Ni kiongozi wa jimbo la Sagamoyo. Ni katili. Anaamuru Tunu auliwe,anavunjwa mfupa wa muundi. Anamwambia kingi awapige watu risasi katika soko la Chapakazi. Ni mkware. Anapanga njama ya kumpata Ashua, anamtaka kimapenzi licha ya kuwa na mke … Read more

Mwongozo Wa Kigogo: MTIRIRIKO KATIKA TAMTHILIA YA KIGOGO

Mwongozo wa Kigogo Notes by Pauline Kea

MTIRIRIKO KATIKA ONYESHO LA KWANZA TENDO LA KWANZA Join Our Telegram Group Ni katika karakana ya soko la Chapakazi, Sudi, Boza na Kombe wanafanya kazi ya uchongaji.Sudi amefungulia radio huku wakiendelea na kazi yao.Ashua anawaletea chai ya mkandaa na mahamri na kuondoka. Habari inatolewa kwa wananchi wa Sagamoyo kuwa wana kipindi cha mwezi mzima kusheherekea … Read more

CHECK DOMAIN