WAHUSIKA KATIKA TAMTHILIA YA KIGOGO
Join Our Telegram Group Kunao wahusika kadhaa katika tamthilia ya Kigogo. Hawa ndio wahusika, na sifa kuwahusu. MAJOKA Ni kiongozi wa jimbo la Sagamoyo. Ni katili. Anaamuru Tunu auliwe,anavunjwa mfupa wa muundi. Anamwambia kingi awapige watu risasi katika soko la Chapakazi. Ni mkware. Anapanga njama ya kumpata Ashua, anamtaka kimapenzi licha ya kuwa na mke … Read more

