Mwongozo Wa Kigogo: MTIRIRIKO KATIKA TAMTHILIA YA KIGOGO
MTIRIRIKO KATIKA ONYESHO LA KWANZA TENDO LA KWANZA Join Our Telegram Group Ni katika karakana ya soko la Chapakazi, Sudi, Boza na Kombe wanafanya kazi ya uchongaji.Sudi amefungulia radio huku wakiendelea na kazi yao.Ashua anawaletea chai ya mkandaa na mahamri…