Wahusika na Sifa Zao Katika Riwaya ya Chozi la Heri
Join Our Telegram Group Mhusika ni mtu katika riwaya au hadithi fulani anayetenda mambo kadha wa kadha, kadri mtunzi wa hadithi au riwaya atakavyo, ili kujenga hadithi yake. Wahusika katika riwaya ya Chozi la Heri, wametumika kuafikisha maudhui ambayo mtunzi…